
Showing posts with label HABARI ZA AFRIKA MASHARIKI. Show all posts
Showing posts with label HABARI ZA AFRIKA MASHARIKI. Show all posts
Sunday, July 21, 2024

TIMU ya Red Arrows ya Zambia imefanikiwa kutwaa ubingwa wa Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati, maarufu kama Kombe la Kagame kwa ushindi w...
Saturday, July 20, 2024
NI APR NA RED ARROWS FAINALI KOMBE LA KAGAME 2024
Saturday, July 20, 2024
TIMU za APR ya Rwanda na Red Arrows ya Zambia jana zilifanikiwa kutinga Fainali ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati, maarufu kama Kombe...
Wednesday, July 17, 2024
RED ARROWS YATINGA NUSU FAINALI KOMBE LA KAGAME
Wednesday, July 17, 2024
BAO pekee la Anthony Shipanuka dakika ya 21 jana lilitosha kuipa ushindi wa 1-0 Red Arrows ya Zambia dhidi ya Telecom ya Djobouti katika mch...
Sunday, July 14, 2024
AL HILAL YAITANDIKA RED ARROWS 5-0, GOR MAHIA YAAMBULIA SARE KAGAME
Sunday, July 14, 2024
TIMU ya Al Hilal FC ya Sudan jana imeibuka na ushindi wa mabao 5-0 dhidi ya Red Arrows FC ya Zambia katika mchezo wa Kundi B Klabu Bingwa Af...
Saturday, July 13, 2024
APR YAENDELEZA UBABE KOMBE LA KAGAME, YAICHAPA EL MERREIKH 1-0
Saturday, July 13, 2024
BAO pekee la mshambuliaji wa Kimataifa wa Mauritania, Mamadou Sy dakika ya 70 jana lilitosha kuipa APR ya Rwanda ushindi wa 1-0 dhidi ya El ...
Wednesday, March 20, 2024
BETPAWA YATOA MABILIONI YA FEDHA KUDHAMINI TIMU ZA TAIFA ZA KIKAPU UGANDA
Wednesday, March 20, 2024
Maafisa wa kamati ya timu za Taifa wa Shirikisho la Mpira wa Kikapu Uganda (FUBA), watendaji wa betPawa na wawakilishi wa timu mbili za kita...
Thursday, December 19, 2019
UGANDA WAIPIGA ERITREA 3-0 NA KUTWAA KOMBE LA CHALLENGE
Thursday, December 19, 2019
Na Mwandishi Wetu, KAMPALA UGANDA wamefanikiwa kutwaa Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati, CECAFA Challenge baada ya ushindi wa 3...
Wednesday, December 18, 2019
WALLACE KARIA ACHAGULIWA KUWA RAIS MPYA WA CECAFA AKIRITHI MIKOBA YA MUTASIM GAFAAR WA SUDAN
Wednesday, December 18, 2019
Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) Wallace Karia amechaguliwa kuwa Rais mpya wa Baraza la Vyama na Klabu za Soka Afrika Mashariki ...
Saturday, October 05, 2019
TANZANIA BARA YATWAA KOMBE LA CECAFA CHALLENGE U20 BAADA YA KUIPIGA 1-0 KENYA
Saturday, October 05, 2019
Na Mwandishi Wetu, JINJA TIMU ya Tanzania Bara imefanikiwa kutwaa Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati kwa vijana chini ya umri wa...
Tuesday, August 20, 2019
KIMANZI KOCHA MKUU TENA HARAMBEE STARS BAADA YA MFARANSA KUFUKUZWA
Tuesday, August 20, 2019
KOCHA Francis Kimanzi amerejea kufundisha timu ya taifa ya Kenya akichukua nafasi ya Mfaransa, Sebastien Migne aliyefukuzwa Harambee Stars...
Saturday, July 06, 2019
MANE AIPELEKA SENEGAL ROBO FAINALI AFCON 2019
Saturday, July 06, 2019
TIMU za Senegal na Benin zimefanikiwa kwenda Robo Fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) baada ya ushindi dhidi ya wapinzani wao Mor...
Thursday, April 25, 2019
PAPY FATY AZIMIA UWANJANI NA KUFARIKI DUNIA ESWATINI
Thursday, April 25, 2019
KIUNGO wa kimataifa wa Burundi, Papy Faty amefariki dunia miezi mitatu kabla ya nchi yake kushiriki fainali zake za kwanza za Kombe la Mata...
Monday, March 25, 2019
MBIO ZA AFCON 2019 ZAKAMILISHWA, AFRIKA MASHARIKI YANG'ARA
Monday, March 25, 2019
MBIO za kuwania tiketi ya kufuzu Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2019 zimekamilishwa jana huku timu nne za Afrika Mashariki...
Saturday, March 23, 2019
BURUNDI YAWEKA HISTORIA, YAFUZU AFCON KWA MARA YA KWANZA
Saturday, March 23, 2019
BURUNDI imeandika historia baada ya kufuzu kwa mara ya kwanza kabisa Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) zitakazofanyika Juni mwa...
Thursday, February 28, 2019
LUKAKU AFUNGA MAWILI MAN UNITD IKIICHAPA CRYSTAL PALACE 3-1
Thursday, February 28, 2019
Mshambuliaji Romelu Lukaku akifurahia baada ya kuifungia Manchester United mabao mawili dakika ya 33 na 52 katika ushindi wa 3-1 dhidi ya...
Friday, February 15, 2019
ATHANAS MDAMU ASAINI MIAKA MITATU KUJIUNGA NA KARIOBANGI SHARKS YA KENYA
Friday, February 15, 2019
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM MSHAMBULIAJI wa Singida United, Athanasi Mdamu leo amesaini mkataba wa miaka mitatu kujiunga na klabu ya ...
Sunday, January 27, 2019
NI KARIOBANGI SHARKS MABINGWA WAPYA WA SPORTPESA SUPER CUP 2018
Sunday, January 27, 2019
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM TIMU ya Kariobangi Sharks imefanikiwa kutwaa ubingwa wa michuano ya SportPesa Super Cup baada ya ushindi ...
Friday, January 25, 2019
KOMBE LA SPORTPESA LAREJEA KENYA, MBAO NA SIMBA KUWANIA NAFASI YA TATU
Friday, January 25, 2019
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM TIMU ya Kariobangi Sharks imefanikiwa kuingia fainali ya michuano ya SportPesa Super Cup baada ya ushindi...
SIMBA SC WACHAPWA NA JAMAA WA MOMBASA NA KUTOLEWA SPORTPESA CUP
Friday, January 25, 2019
Na Sada Salmin, DAR ES SALAAM MABINGWA wa Tanzania wametupwa nje ya michuano ya SportPesa Super Cup baada ya kuchapwa mabao 2-1 na Bandari...
Sunday, January 20, 2019
LEOPARDS WALIVYOJIFUA LEO DAR KUJIANDAA NA KOMBE LA SPORTPESA
Sunday, January 20, 2019
Mshambuliaji Mtanzania wa AFC Leopards ya Kenya, Marcel Kaheza akizungumza na Waandishi wa Habari leo Uwanja wa JMK Park, eneo la Gerezan...
Subscribe to:
Posts (Atom)